Kiratagnon

Kiratagnon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waratagnon. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiratagnon imehesabiwa kuwa wazee wawili tu, yaani Kiratagnon imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiratagnon iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search